Miss Singida 2012
Miss Singida 2012, akivishwa rasmi taji lake baada ya kushika nafasi ya kwanza

Zena Mode, Miss Singida 2012 akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rehema Marwa (kulia) na Elizabeth Dimond

Mgeni Rasmi katika shindano hilo, katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi kitita cha SDh.400,000 kwa mrembo
No comments:
Post a Comment