Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid  Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 27,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Mashariki  Gaudence Kayombo, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni  27,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Mbunge wa Dole, Sylvester  Mabumba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Juni  27, 2012. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na wawekezaji katika sekta ya  madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation ya Urusi baada  ya kuzungumza nao, Ofisini kwake  Bungeni  Mjini Dodoma Juni 27,2012.  Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji  katika sekta ya madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation  ya Urusi baada ya  kuzungumza nao, Ofisini kwake  Bungeni  Mjini Dodoma Juni 27,2012.  Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment