Thursday, July 12, 2012

FILAMU YA KUCHANGIA MATIBABU YA SAJUKI (SAYLA) KUZINDULIWA JIJINI ARUSHA

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu, akielezea jambo wakati akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es salaam, juu ya uzindi wa Filamu ya SAYLA, filamu ambayo ni muendelezo wa harambee za kumsaidia msanii mwenzao wa filamu hapa nchi Sajuki, filamu ambayo itaazinduliwa katika mikoa minne ya Dodoma, Dar es samaam,Morogoro na Arusha, kulia ni Mke wa Sajuki Wastara Juma" wastara"

Mke wa mwigizaji Sajuki Bi! Wastara Juma ambaye ni mwigizaji pia, akitoa shukrani kwa wasanii na watanzani kwa mchango mkubwa alioupata katika matibabu ya mumewe, na pia alielezea maudhui ya filam ya SAYLA iliyoiandaliwa na wasanii wa filamu hapa nchini, akiwa nchini India kwa matibabu, amesema kuwa inalenga kumsaidia Sajuki kimatibabu zaidi kwani ingawaje hali yake inaendelea vyema lakini bado anahitaji matibabu madogomadogo, ili kuweza kuimarisha afya yake.


Mkurugenzi mtendaji wa Fullshangwe Blog, Bw. John Bukuku akimkabidhi mke wa Sajuki, Wastara Juma kiasi cha Sh. laki moja 100,000, kama sehemu ya mchango wake kwa ajili ya matibabu ya Mumewe.

No comments: