Tuesday, July 24, 2012

KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA ACHA TU MUNGU AITWE MUNGU JINA PEKEE

Mhandisi Wa Vodacom Joseph Mwapinga Apata Pigo Afiwa na Mkewe

Marehemu Belinda J. Mwapinga enzi za uhai wake.
Marehemu Belinda J. Mwapinga alifariki tarehe 20/07/2012 katika Hospitali ya Muhimbili na mazishi yake kufanyika tarehe 23/07/2012 katika makaburi ya Kinondoni.

Baba Padre akitoa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa Belinda. J. Mwapinga jana katika Kanisa la Katoliki Extenal Dar es salaam
Joseph Mwapinga mwenye suti nyeusi akiwa na watoto wake alio achiwa na mke wake kipenzi Belinda.

No comments: