

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini na viongozi wa Jumuiya za Kiislamu wakati akiondoka, baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma jana, Julai 15, 2012


Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya za Kiislamu na waumini wa Dini hiyo, waliohudhuria semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma jana, Julai 15, 2012.
No comments:
Post a Comment