Wednesday, July 18, 2012

MAPENZI -MAPENZI=MAPENZI

Nakupenda dada, nakupenda kaka
Nakupenda katika shida na raha siwezi kukuacha hata kwa kisu,Siko tayari kukuona unaangaika wangu nakupenda sana.
Ni maneno yanayotumiwa na vijana wa Kibongo ila kwa umoja na wingi ni wachache sana wanaoweza kutimiza kile wakisemacho wakati wa utafutaji wao.
Suala liletalo matatizo ni Mimba hasa kwa dada zetu wanafunzi au wale ambao hawajajipanga kuzaa kwa kipindi flani.
Kuweni makini hasa kwa kusikiliza mistari inayokuwa inatolewa na watafutaji wa penzi kwa hali yeyote kuwa makini inauma.

No comments: