Tuesday, July 31, 2012

MGOMO WA WALIMU NCHINI TANZANIA...BASI NGOJA MIMI NIWE MWALIMU.

 Mwanafunzi anapoamua kuchukua nafasi ya ualimu. Hakika hapa ndipo inapoonekana walimu ni watu/walezi muhimu sana....
...Walimu wamegome je sisi wanafunzi tufanyeje?? Kumbukeni kuwa sisi tuna haki ya kupata ELIMU.
 

No comments: