Wasanii wa kundi la GYT kutoka Dar es salaam wakilishambulia jukwaa wilayani Kyela mkoani Mbeya jana ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali. (Picha: Executive Solutions)
1: Wateja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiburudika na bia yao huku wakipagawishwa na shoo ya nguvu iliyofanywa na wasanii wa bia hiyo katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania. (Picha: Executive Solutions)
2: Mteja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambaye ni kiziwi akiwapagawisha wateja katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania. (Picha: Executive Solutions)
3. Wacheza shoo wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiwaburudisha wateja katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania. (Picha: Executive Solutions)
4. Wateja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakicheza muziki wa “alaji” katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania. (Picha: Executive Solutions)
No comments:
Post a Comment