Thursday, July 12, 2012

Uhakiki wa wanachama wa chama cha ADC-Dira ya Mabadiliko mkoani Shinyanga

Katibu Mkuu wa chama cha Alliance For Democratic Change (ADC ) Kadawi Lucas Limbu, mwenye suti katika akiongoza maandamano ya wanachama wa chama hicho kwenda kuhakikiwa kwenye uwanja wa saba saba Mjini Magua jana.Kulia ni Kamishina wa ADC Kanda ya Ziwa, shaaban Itutu.Jumla ya wanachama 240 walipatikana katika uhakiki huo ili kuwezesha chama hicho kupata usajili wa kudumu, uhakiki ambao uliongozwa na Afisa Mfawidhi wa Kanda ya Ziwa , msajili msaidizi wa vyamavya siasa, Ludovi Joseph Ringia.

Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC Kadawi Lucas Limbu mwenye suti akifuatilia zoezi la uhakiki wa wanachama wa chama hicho jana mjini Magu, ambao ulifanywa na maofisa wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Kanda ya Ziwa,ambapo wanachama 240 walikutwa hawana dosari.
Ofisa mfawidhi wa ofisi ya msajili wa vyama vya Siasa Kanda ya Ziwa, Msajili msaidizi Ludovic Joseph Ringia, (kulia,) akizungumza na viongozi wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho Taifa, Kadawi Lucas Limbu na katikati ni Kamshina wa chana hicho Kanda ya Ziwa muda mfupi kabla ya kufanyika kwa zoezi la uhakiki wa majina ya wanachama wa chama hicho Wilkayani Magu Mkoa wa Mwanza jana.Jumla wa wanachama 240 walipatikana kufutia uhakiki huo kuwa hawakuwas na dosari.

No comments: