Thursday, August 2, 2012

Dk Shein ziarani Pemba


 Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema  Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Watoto wa  kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum Kisiwani humo

No comments: