Monday, September 17, 2012

WAZIRI MKUU AKIWA KAZINI NA KUTIMIZA WAJIBU WAKE KATIKA JAMII


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifungua Ofisi ya Msajili wa Ardhi ya Kijiji Cha Matale wilayani Misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15,2012. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza MhandisI Evarest Ndikilo na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga.

Mmoja wasanii waliotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa mpira wa misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15, 2012. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments: