Friday, August 24, 2012

KOBE ANAYETUNGA SHERIA.

Msanii wa hiphop anayefanya vizuri kwa sasa na video yake ya "Jiinsi Navyoroll" ambayo amemshirikisha producer na manager wake Godfather mbezi pamoja na Cyril kamikaze, ameelezea ujio mwingine wa nyimbo yake mpya ambayo itaitwa "Ride Up". Afro maniac ambae kwa sasa yupo U.K kimasomo anatarajia kushoot video ya ngoma yake mpya iitwayo "Ride Up" huko huko U.K. Audio ikiwa imefanywa na produce mbezi. Afro Maniac anatarajia kurudi bongo soon ndipo ataiachia rasmi video yake hio mpya.
Hizi ni baadhi ya picha zinazo mwonesha msanii Afro Maniac smilin' at the camera.

No comments: