Thursday, August 2, 2012

MJI WA BUKOBA KWA USAFI BADO

 Ni kituo cha kuifadhia uchafu cha kashai sokoni.


 Kituo cha kuifadhia uchafu cha soko kuu
Kituo cha kuifadhia uchafu cha uswahilini
Wakati harakati za mkuu wa mkoa wa Kagera za kuweka mkoa safi zikiendelea zimeonekana kugonga aukuta mara baada ya kamera yetu kupita pita katika maeneo ya mji huu na kukuta maeneo ya kutunzia uchafu na kukuta kuna uchafu ambao una toa halufu mbaya sana.
Ni jambo ambalo limesababisha watu wanaokaa karibu na maeneo hayo kukosa amani ya kuishi kwenye knyumba zao.
Pia ni hatari kwa afya ya binadamu hasa watoto wadogo na hasa ukizingatia wakati huu ugonjwa wa EBORA umeanza kukatisha maisha ya wanadamu katika nchi jirani ya Uganda.
Leo ni siku ya usafi wa mji wa bukoba yaani MASAWE DAY ambayo ilitengwa maalumu kwa ajiri ya usafi wa mji 
Je leo hizi takataka zitatolewa katika mji huu au zitaendelea kuwepo ..........
Four ways bukoba itaendelea kufuatilia kwa umakini kabisa kama takataka zitakuwa zimetolewa katika vituo hivyo 
Eliud
0768078360
0712619204
 

No comments: