Friday, September 14, 2012

BUKOBA WAKATAA UTARATIBU ULIOWEKA BILA WAO KUSHIRIKISHWA


Ni katika manispaa ya mji wa bukoba watu wanapinga vikali tarabibu mpya za uongozi wa manispaa hiyo mara baada ya kuweka mikakati ya kuwa kila ofc,kiband,duka,hoteli na sehemu yeyotehile iwe na diaba la kuwekea takataka.
Hapa wamekusanya zaida ya laki mbili na uchafu kwa kila walipokuwa wanakuta hamna diaba hilo basi wanatoza faini ya shilingi 20000/= pesa ambao sio kuwa wanakupa dish ilo ila bado wanakuimiza kuwa wakirudi walikute.
Imetoke wakaenda kwenye duka la mfanyabiashara mmoja ambaye ndani ya duka lake kuna kibanda cha kuuza vocha na kutoa huduma za m-pesa,wakataka kuwa kila sehemu iwe na diaba ilo kama sivyo basi walipe faini ya shiling elfu 20000/= jambo ambalo limewafanya wananchi waliokuwa karibu na duka hilo kuja juu na kusema kuwa huo ni uonevu na ni jambo ambalo litawafanya wananchi kuivhukia serikali yao wakiendelea na mzozo huo mwanamgambo ambaye jina lake hatukuwezakulipata kwa wakati alijaribu kutumia cheo chake kutaka kupusa kamera yatu kwa kutotaka kuchukuliwa picha katika eneo ilo.

Ni hivi juzi tumetoka kumzika Mwandishi wa habari kwa kuuwawa vibaya na watu wanaosadikika kuwa ni afisa wa jeshi la polisi bado na wanamgambo wanataka kumpiga na kumwalibia mwandishi wetu kamera yake jamboa ambalo limepelekea kufanya kazi kwa kutojiamini na kuchukua picha zisizo na ubora .
Eliud
0768078360

No comments: