FOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU K A R I B U S A N A
Friday, September 14, 2012
BUKOBA HAPAKARIKI MWAKA HUU.
Kwa maisha ya mtanzani hasa wale wa chini maisha yao wanategemea biashara ndogndogo (umachinga) na kubangaiza huku na kule ili mkono uingie kinywani.
Kufika tarehe 15/09/2012 machinga wote wabukoba wameamuliwa kuwa wawe wametoka katika maeneo ya barabara na kutafuta vyumba kwa ajiri ya biashara yao.
Jmbo ambalo limeonekana kuwa gumu sana kwa machinga hao make ela ya kukodi vyumba ni nyingi sana.
Amri hiyo ijajulikana nani kaitoa ila fununu zinazovuma ni kuwa zimetolewa na uongozi wa manispaa ya bukoba.
0768078360
Eliud
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment