Lina
mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva kutoka kundi la THT
akicheza na Tausi mmoja wa mashabiki waliojitokeza katika tamasha la
Serengeti Fiesta 2012, linalofanyika kwenye uwanja wa Samora Usiku huu
mjini Iringa ambapo wasanii mbalimbali wanafanya vitu vyao jukwaani
wakiburudisha mashabiki wa mkoa wa Iringa, Lina ameweza kufanya mambo
makubwa na kuwaimbisha mashabiki wake ukizingatia kwamba anatoka mkoa
huo
Meneja
Masoko wa kampuni mya Push Mobile Rugambo Rodneyakipiga picha ya pamoja
na mmoja wa Ali Mohamed Sanga kazi wa Mshindo Iringa mjini ambaye ni
mshindi wa moja ya pikipiki
Amini akiimba jukwaani katika tamasha hilo
Rachel akimwaga mauno jukwaani ametisha kwa ujumla usiku huu mjini Iringa na mashabiki wamemkubali.
usiku huu.
Mshindi
wa Serengeti Fiesta Super Nyota kutoka mkoani Mbeya anayejulikana kwa
jina la Ney Lee akiimba jukwaani kwenye onesho la Serengeti Fiesta
linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa , ambapo
wasanii mbalimbali watapanda jukwaani kuburudisha wakazi wa mkoa wa
Iringa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva anayekulikana kwa jina la Young Killer akifanya vitu vyake jukwaani huku
Hapa ni Full Kushangweka mwenye kurusha juu ngua haya, mwenye kitambaa mkononi haya mwenye koti haya ilimradi burudani imekolea.
Nyomi la mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa Samora kwa ajili ya kushuhudia tamasha la Srengeti Fiesta 2012 mjini Iringa.
Picha kwa hisani ya Full shangwe
No comments:
Post a Comment