Sunday, October 7, 2012

Agrey Mareale Achanguliwa Mjumbe Wa NEC Moshi Mjini

Kada wa Chama cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, Agrey Mareale jana amechaguliwa kuwa Mjumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Moshi mjini Mkoani Kilimajaro.

Mareale amemwangusha mpinzani wake katika nafasi hiyo Buni Ramole. Aidha katika uchaguzi huo pia ulimchagua Bi. Elizabeth Minde kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Moshi Mjini.

No comments: