Wednesday, October 31, 2012

BAADA YA JOHN TERRY KUSIMAMISHWA BAADHI YA MECHI, SASA AJIACHIA "STREET"



John Terry na mkewe Toni Poole.
LONDON, ENGLAND
WAKATI watu wakimwonea huruma JOHN Terry kwa kufungiwa mechi nne kwenye ligi kuu England kufuatia kupatikana na makosa ya kumbagua Anton Ferdinand wa QPR, mchezaji huyo wa Chelsea haonekani kama anajali sana. Anatumia muda huo kufurahia Maisha akiwa na mke wake Tone Poole.
 Kick It Out: terry has used his matchday notes to back the anti-discrimination cause  
Wawili hao walionekana katika Mgahawa wa Knightsbridge wakifurahia maisha. Baada ya msosi wa jioni walitua katika klabu ya usiku mpaka usiku mnene.
 John Terry na mkewe Toni Poole

No comments: