Sunday, December 9, 2012

SIKU YA KUPINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA MKOANI KAGERA


 Askari wakiandamana pamoja na wadau wengine kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.
 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Philip Kalangi, akimpokea katibu tawala wa mkoa wa Kagera Nassor Mnambila alipowasili kwenye uwanja wa uhuru kuhudhuria maadhimisho ya kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia mkoani Kagera.
 Ujumbe uliokuwa ukitolewa na waandamanaji.

Baadhi ya waandamanaji wa kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia

No comments: