Thursday, October 18, 2012

MCHAKATO WA UKUSANYAJI WA MAONI JUU YA KATIBA MPYA UNAENDELEA KATIKA MANISPAA YA IRINGA


Mwananchi akitoa maoni yake kwanjia ya maandishi

Wananchi wa manispaa ya Iringa wakitoa maoni yao kwa njia ya maandishi katika fomu maalumu.


Mjumbe katika kamati ya tume ya marekebisho ya katiba Ussi Khamis Haji akitoa maelezo kwa wananchi waliofika kutoa maoni katika kata ya kitanzini.

No comments: