Baada ya miezi takilibani miezi 11 kwa sasa wazungu wameamua kutoa nguo zao ambazo tayari zimetukika.
Wametoa kwa nguo hizo ambazo zitauzwa kwa bei ya chini kwa waafrika waliozoea kutumia nguo khali maarufu kama (Mtumba grade 1 hadi 3.
Watumihaji wa nguo hizo wanawatakia second user wa nguo zao sikukuu njema na maandalizi mazuri ya kufunga mwaka.
No comments:
Post a Comment