Thursday, October 18, 2012

NAFASI ZA MASOMO




Mkuu washule ya Sekondary na Primary JELLY`S anawatangazia nafasi za masomo wazazi wote wenye watoto waliomaliza darasa la saba na wale wanaotaka kujiunga na darasa la kwanza ikiwa ni pamoja na masomo ya awali kuwa kwa sasa wameanza usajili na kupokea watoto kwa ajili ya masomo.Pia kuna nafasi za kuamia kwa wale wanaohitaji kujiunga na masomo katika shule ya JELLY`S iliyopo katika mtaa wa NYASAKA MWANZA.
Shule ina mazingira mazuri ya kusomea na kumfanya mtoto wako kukua katika maadili ya kidini na pia ina walimu waliobobea katika fani ya ufundishaji.
MLETE MWANAO JELLY`S ILI AWEZE KUPATA ELIMU ILIYOBORA ZAIDI 
WITH JELLY`S WE CAN FLY

No comments: