William Leonard Roberts II 'Rick Ross'.
MWANAMUZIKI kutoka Marekani, William Leonard Roberts II 'Rick Ross'
anataraji kutua nchini leo saa tano usiku tayari kwa shoo yake ya kesho
pale viwanja vya Leaders. Ross kupitia mtandao wake wa Twitter kuhusu
Afrika ameandika hivi “Approved
#Dicedpineapples final Video edit on flight to #Africa . Coming soon!!
KLM airlines need 1st 48 on they’re tv’s for me. #Africa.”
No comments:
Post a Comment