KIKAO CHA MTANDAO UNAOYAUNGANISHA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KAGERA.

Dr George Buberwa akiongea wakati wa kikao cha mtandao wa
mashirika yasiyo ya kiserikali Kagera KANGONET kilichofanyika kwenye
ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wajumbe halali wa KANGONET.
Wajumbe wengine.
Bw. Kiiza alikuwa mmoja wa walioudhuria kikao cha KANGONET,
wajumbe wa mtandao huo walikuwa wakulalamikia uongozi ulioko madaraka
ambao ni pamoja na Katibu Christan Byamungu na mwenyekiti Yusto
Mchuruza, walisema viongozi hao hawana imani nao.
Kimani na Michael.
Afisa maendeleo ya jamii mkoani Kagera Charles Mwafimbo ndiye aliyeongoza kikao hicho.
No comments:
Post a Comment