Saturday, November 3, 2012

ONGEZEKO LA MVUA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWAYASABABISHA HASALA KWA WANANCHI WA BUKOBA



Mara baada ya kunyesha kwa mvuazilizoambatana na upepo mkali  vilisababisha baadhi ya miti na migomba kudondoka.










Madhara yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali katika wilaya ya Bukoba katika kata za Buhembe, Nyanga, Kahororo na wakazi wa kata hizi wanahitaji msaada.
Nikiongea na baadhi ya viongozi wa selikali ya manispaa ya bukoba na mkoa wa kagera kwa ujumla wamesema kuwa watu walioathiirika na maafa hayo wanahitaji msaada wetu kwa hali na mali kwani mpaka sasa wananchi hao hawana hifadhi ya kueleweka kulingana na maisha yao ya kawaida huku wakiwa wanasubili tathimini na hesabu kujua tatizo hilo limesababisha madhara ya gharama gani.
                  Wanachi nao kwa wakati wao wamethibitisha kutokea kwa tatizo hilo ambalo lilisababishwa na mvua kubwa zilizoaambatana na upepo mkali wote kwa pamoja wameomba serikali kusaidia na kuwaombea msaada kwa wananchi wengine kwani ni janga kama yaliyokuwa majanga ya Mbagala na gongolamboto
Eliud

No comments: