Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha majaji wawili wa Mahakama ya
Rufaa katika sherehe zilizofanyika ikulu jijini Dar es
Salaam.Walioapishwa na Rais leo ni Mhe.Jaji Bethuel Mmila na Mhe.Jaji
Ibrahim Hamisi Juma.Pichani Majaji hao (8648) Bethuel Mmila na jaji
Ibrahim Hamisi Juma(8657) Wakila kiapo mbele ya Rais.(picha na Freddy
Maro)
No comments:
Post a Comment