Kuna matatizo makubwa katika upande wa
uwekezaji nchini. Tumeshuhudia migogoro mingi, hususan ya ardhi,
kutokana na wageni wengi kupewa ardhi kubwa huku wananchi
wakinyang'anywa hata ile ambayo wamekuwa wakiitumia kwa miaka mingi.
Mashirika mengi ya umma yaliuzwa kwa manufaa ya wachache. Hebu soma
zaidi mapendekezo..www.kwanzajamii.com/?p=4173
No comments:
Post a Comment