Afisa
Mtendaji Mkuu wa Barclays wa Huduma za Rejareja za Biashara ya
Kibenki,Craig Bond akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani)
wakati wa Mkutano wao wa kuelezea mipango yao endelevu ya biashara za
kibenki Barani Africa,uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.Wengine pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Barclays
Africa,Kennedy Bungane (wa pili kushoto),Mkurugenzi Mkuu wa Barclays
Tanzania,Kihara Maina (wa pili kulia) na mwisho ni Afisa Mtendaji Mkuu
wa Kitengo cha Bima wa Barclays Africa,Willie Lategan
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Barclays Africa,Kennedy Bungane (wa pili kushoto)
akisisitiza jambo mbele ya waandisi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
Mkutano wao wa kuelezea mipango yao endelevu ya biashara za kibenki
Barani Africa,uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Barclays Tanzania,Kihara Maina (katikati) akizungumza kwenye
Mkutano huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Bima wa Barclays
Africa,Willie Lategan na Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Barclays
Africa,Kennedy Bungane.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kwenye Mkutano huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wadau wa Barclays wakifatilia kwa makini Mkutano huo.
No comments:
Post a Comment