Saturday, May 11, 2013

MSIMU MWINGINE WA SENENE BUKOBA








Kwa mara nyingine tene ndani yamwaka huu wanabukoba wanaanza tena kuvuna zao la senene wasiojua shamba lake.
Ni kama neema ya wanabukoba kutokana na maeneo mengine ndani ya Tanzania kutokuwa na wadudu hao watumikao kama chakula kwa wanabukoba.

Mara nyingi wanabukoba wametumia zao hili kuwa kama zao la biaashara hasa ukizingatia vijana wengi na akina mama wamekuwa wakipata kipato chao kupitia zao la senene.
MUNGU IBARIKI BUKOBA NA WANABUKOBA. 

No comments: