Thursday, May 9, 2013

WAKAZI WA IWAMBI JIJINI MBEYA WAWAOMBA HALMASHAURI YA JIJI WAKASAMBAZE VIFUSI WALIVYOMWAGAWA ZAIDI YA MIEZI 4 SASA MAANA HAWANA BARABARA YA KUPITA





HIVI NI VIFUSI VILIVYOMWAGWA KATIKATI YA BARABARA HUKO IWAMBI SASA NI MIEZI 4 IMEPITA WALA HAKUNA HATA YA DALILI YA KUSAMBAZWA KWA VIFUSI HIVYO JE WAHUSIKA MPO? MWESHIMIWA DIWANI WA IWAMBI UPOOOOO? AU UNASUBIRI TENA UCHAGUZI?



WAKAZI HAO WA IWAMBI WAMEULALAMIKIA UONGOZI WA JIJI KWA KUTOWAJALI WANAPOKWENDA KUWAELEZA JUU YA TATIZO HILO LA VIFUSI HUWA WANAJIBIWA KUWENI WAKALI NDIYO TUTAKUJA HUKO KWANI HAMONI MAENEO MENGINE WENZENU WAKALI NA MADIWANI WAO WAKALI KILA MARA WANAFUATILIA NDIYO TUNAENDA KUWAFANYIA KAZI SASA WAMESHINDWA KUELEWA NI UKALI GANI WAUTUMIE ILI VIFUSI HIVYO VISAMBAZWE



HII NDIYO HALI HALISI YA BAADHI YA BARABARA ZA IWAMBI JIJINI MBEYA



HAYA TENA ENEO LINGINE LA IWAMBI VIFUSI HIVI SASA NI WIKI YA NNE 4 HAVIJASAMBAZWA JIJI MNALIONA HILI KAMA HAMPO TAYARI KUSAMBAZA KWANINI MNAPELEKA VIFUSI HUKO?



WAHUSIKA HEBU WAJALINI WAKAZI WA IWAMBI WAMECHOKA SASA



MBEYA YETU ITAENDA KUWAONA WAHUSIKA WA JIJI WAKAZI WA IWAMBI TUTAWAPA JIBU

No comments: