Sunday, October 27, 2013

R I P KANUDA

Ni kama ndoto lakini yatubidi kuhamini ya kuwa mwenzetu na rafiki kama sio ndugu yetu kwani alikuwai mtani wa watu wengi sana leo majira ya saa tano za asubuhi taarifa za kuaaminika na kudhibitishwa na madakitari toka katika hosptal ya Bugando iliyo jijini mwanza Tanzania kwa majonzi makubwa tumepoke habri kuwa KANUDAAMETANGULIA MBELE YA HAKI
Mungu ailaze roho ya marehem maali pema peponi
kazi ya mungu haina makosa
TULIKUPENDA LAKINI MUUMBA WAKO KAKAHITAJI.
Chanzo cha kifo chake  endelea kutembelea blog hii

No comments: