Sunday, April 22, 2012

Arsenal 0-0 Chelsea Promo - 21/04/2012

 
 



LIGI KUU ENGLAND: ARSENAL NA CHELSEA ZASHINDWA KUTAMBIANA

LIGI ENGLAND imeendelea tena  mchana wa leo kulikuwa na mechi ya kwanza kati ya Arsenal na Chelsea. Dabi ya Jiji la London kwa Arsenal kuwa wenyeji wa Chelsea Uwanjani Emirates na hii ilikuwa ni  Mechi muhimu kwa Timu zote mbili zikiwania kuwemo 4 bora ili zicheze UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu ujao.
Chelsea wakiwa na mechi ngumu dhidi ya Barcelona siku ya Jumanne, walichezesha wachezaji kadhaa wa akiba ili kujaribu kujiandaa na mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya.
Licha ya nafasi za hapa na pale kutoka pande zote mbili, mchezo huo ulikosa msisimko mkubwa kutokana na wachezaji kupoteza pasi na mipira kila mara.
Standing tall: Van Persie also saw a thunderous shot saved well by Petr Cech in the second half 
Matokeo haya yanaiacha Arsenal katika nafasi ya tatu, ingawa matokeo ya Tottenham na Newcastle huenda yakaipa wasiwasi klabu hiyo ya kaskazini mwa London.
 


Arsenal wapo nafasi ya tatu na wapo Pointi 5 mbele ya Tottenham lakini walipoteza Mechi yao ya mwisho walipofungwa na Wigan bao 2-1 hivyo hawatakubali kufungwa kwa mara ya pili mfululizo na kuziruhusu Timu za nyuma yao kuwasogelea.

Interested party: England caretaker manager Stuart Pearce was in attendance       
                                    
Mashabiki wakifatilia mechi kwa makini sana
Kwenye mechi yao ya kwanza ya Ligi Msimu huu iliyochezwa Stamford Bridge hapo Oktoba 29, Arsenal waliifunga Chelsea bao 5-3 huku Robin van Persie akipiga hetitriki.

Tottenham, ambao Wikiendi iliyopita walifungwa bao 5-1 na Chelsea kwenye Nusu Fainali ya FA Cup, wapo ugenini kucheza na Queens Park Rangers katika Dabi nyingine ya Jiji la London.


Rough and tumble: there was plenty of action from set pieces in both penalty boxes
John Terry Alipoangushwa sehemu nyeti ya penati na Vamaelen


Fighting through the pain: Tomas Rosicky played more than an hour despite being ill during the week
Tomas Rosicky amecheza sana na zaidi ya lisaa 1 na huku alikuwa ameumia tangu wiki iliyopita



NAZO TIMU ZA  FULHAM, NEWCASTLE, BLACKBURN  ZAUA ENGLAND. NA MSIMAMO KUSIMAMA HIVI KWENYE CHATI LAO LA EPL..

Barclays Premier League | MSIMAMO WA SASA



PWDLGFGAGDPts
1Man Utd34264482285482
2Man City34245585275877
3Arsenal352051067432465
4Newcastle34188853421162
5Tottenham33178857381959
6Chelsea341610856381858
7Everton33138123834447
8Liverpool331210114036446
9Fulham341210124544146
10Sunderland351111134241144
11Swansea351110143945-643
12Norwich351110144760-1343
13West Brom34126164047-742
14Stoke34119143248-1642
15Aston Villa34715123548-1336
16Wigan35810173460-2634
17QPR3487193857-1931
18Blackburn3587204773-2631
19Bolton3393213766-2930
20Wolverhampton3458213473-3923

No comments: