Friday, April 6, 2012

DEONISE MALINZI AKABIDHI PIKIPIKI

  UMOJA WA VIJANA WA CCM MKOA KAGERA waanza kuvuna matunda ya uanacha 

Jumla ya Pikipiki saba zilizotolewa kwa Umoja wa Vijana wa CCM  Mkoa na Kamanda wa  Umoja wa Vijana Ndg Deonise Malinzi zenye thamani ya shilingi milion kumi na laki saba fedha za kitanzania.
 Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM   Mkoa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM  Mkoa Mama Costansia Buhiye.
Mama Costansia Buhiye ambaye ni  Mwenyekiti wa CCM  Mkoa wa Kagera.maa kutoka wilaya ya missenyi (Bunazi)
Mh. Deonise Malinzi
Mh. Deonise Malinzi akikabidhi pikipiki kwa  Katibu wa CCM  Wilaya.
Furaha mara baada ya makabidhiano hayo.
Katika kuagana  kila mmoja na mwonekano wake
Ni kiongea na wanachama wa  chama cha mapinduzi jana 05/04.mwaka huu kuhusu pikipiki walizopewa wamesema kuwa ni kweli wamesaidiwa sana na ila ni katika kuwasaidia kuweza kuwapata viongozi bora wa chama hasa ngazi ya taifa tutatumia pikipiki hizi kwa umakini wa hali ya juu.
Vipi kuhusu gharama za uendeshaji kama mafuta,oil na matengenezo madogo madogo?Mpaka sasa sijajua kuhusu hilo ila kwa ujumla naweza sema kuwa mwanachama  atakayebidhiwa pikipiki itabidi haijari kwa kila kitu.

No comments: