Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles  Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa  ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.
Rais  Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa  marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo  Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

 
 
Rais  Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles  Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012  alipofika kuomboleza nao kifo hicho.

 
 
Rais  Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles  Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012  alikofika kuomboleza nao kifo hicho.


 
 
Rais  Kikwete akiaga waombolezaji  nyumbani kwa marehemu Steven Charles  Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012  alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
 
 
Rais  Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles  Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012  alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
PICHA ZOTE NA FREDDY MARO WA IKULU
PICHA ZOTE NA FREDDY MARO WA IKULU
 
 
No comments:
Post a Comment