Monday, April 9, 2012

JINSI TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa wamejitokeza 
kwa wingi kwenye tamasha la Pasaka Jumapili
 8/4/2012 ndani y uwanja wa Taifa Dar es salaam. 
Tamasha hilo liliandaliwa na Msama Promotions na
 tarehe 9/4/2012 itakuwa ni ndani ya mji wa Dodoma Jumatatu ya Pasaka.

No comments: