Mwenyekiti wa KCU akiomba ulaji kwa wakulima
![]() |
Mwenyekiti wa Bodi ya KCU (1990)LTD John Binushu akiomba kura za kutetea nafasi yake.Alipita bila kupingwa!.KCU ni Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kagera |
![]() |
Leonida Muhazi naye alitetea nafasi yake ya kuendelea kuwa mjumbe wa Bodi ya KCU |
![]() |
Tafakari kabla ya kupiga kura ya kugawa ulaji |
![]() |
Tunaunga hoja mkono,hakuna haja ya Mwenyekiti aliyepita bila kupingw |
No comments:
Post a Comment