Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis Mdee akifungua mafunzo ya Wahariri Wasanifu wa Vyombo mbalimbali vya Habari nchini, kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Dar es Salaam asubuhi hii. Kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu, Michael Mhando (kushoto) na Mwenyekiti wa Umoja wa Wahariri Wasanifu, Laudeni Mwambona.
Mafunzo hayo yataendeshwa kwa siku moja na yanafanyika katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Kurasini jijini Dar es salaam Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wahariri Wasanifu, Laudeni Mwambona (kulia), akizungumza wakati wa mafunzo hayo, katikati ni Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis Mdee na Kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu, Michael Mhando
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Athuman Rehani (kulia) akiwa na Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NHIF/CHF, Grace Michael.
Mwana vipindi vya afya wa Chanel Ten, Lina Denis (kushoto) akitoa shukrani kwa NHIF, kuandaa mafunzo hayo muhimu kwa wahariri wasanifu. Kutoka kulia ni Beda Msimbe wa Habari Leo na Martha Ngwira wa TBC.
Baadhi ya maofisa wa NHIF,CHF wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mafunzo hayo.
Sehemu ya Wahari Wasanifu wakiwa katika mafunzo hayo.Kutoka kulia ni Noor Shija wa gazeti la Uhuru, Jane Mathias wa Nipashe na Boniface Luhanga wa Nipashe.
Wahariri wasanifu wakiwa katika warsha hiyo kutoka kushoto ni Lina Denis wa Chanel Ten, Martha Ngwira wa TBC na Beda Msimbe wa Habari Leo.
Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khimis Mdee (w pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Blogu ya Full Shangwe, John Bukuku wakati wa mafunzo hayo. katikati ni John Stephen wa Mwananchi wa pili kulia na Nuru Shija wa Uhuru.
Hapa wakielekea kupiga picha.
Naibu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khimis Mdee (katikati mbele) na viongozi wengine wa mfuko huo, wakiwa katika picha ya pamoja na Wahariri Wasanifu.
No comments:
Post a Comment