Wednesday, May 2, 2012

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MEI MOSI TANGA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana Mei 1, 2012
(PICHA NA IKULU)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudence Kabaka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh Galawa katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana Mei 1, 2012
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tatu kama zawadi kwa  Mfanyakazi bora wa Tanesco Bi Anetha Chengula  katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana Mei 1, 2012
Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge wakiigiza kikao cha bunge wakati gari lao lilipokuwa linapita mbele ya Rais Dkt Jakaya Kikwete katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga jana Mei 1, 2012 
 Viongozi mbalimbali wakiwa katika jukwaa kuu wakati wa sherehe hizo kwenye uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga leo
 Hii ni sehemu wa wafanyakazi waliojitokeza katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga leo.
 Viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri na wabunge pamoja na viongozi wa siasa wakiwa katika wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Tanga jana.
Baadhi ya Wafanyakazi na wananchi waliojitokeza kwenyesherehe hizo wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Mkwakwani jana.

No comments: