Wednesday, May 2, 2012

Misaada Na Mikopo Inavyotufanya Watumwa

MAISHA HAYA MPAKA LINI?NA MNAHISI KUWA YATAISHA KAMA KINACHOPATIKANA KINATUMIWA NA WENYE DHAMANA YA KUHUDUMIA WANANCHI HAYA NGOJA TUONE MWISHO.............

(Makala hii imeandikwa na Nizar Visram na kuchapwa na Mwananchi Jumatano hii., picha ya maktaba ikimwnyesha Julius Nyerere akiwa na Rajiv Gandhi mwaka 1985)

Na Nizar K Visram
KULE Ulaya mfumo wa kikabaila ulipofifia na ukaibuka mfumo wa kibepari, athari moja ni kupungua kwa nguvu za kidini, yaani utawala wa kanisa ukaanguka na tabaka la kibepari likashika hatamu. Soma zaidi;

No comments: