Wednesday, May 2, 2012

SUPER MARKET



Katika  SUPER MARKET M YETU YA KIJIJI Hapa unahakikishishiwa sehemu ya kuegeshea baiskeli yako. Kuna karibu bidhaa zote muhimu kukuwezesha kula ukashiba na mengineyo ya muhimu kwa nyumba ya mlalahoi; mafuta ya kupikia, mchele, maharage, unga, sukari, sabuni ya kufulia/kuogea, dagaa, samaki wakavu na wabichi , mafuta ya taa, koroboi na vingine vyote muhimu kwenye nyumba ya mlalahoi.

No comments: