Monday, June 25, 2012

Taswira Kutoka Baraza La Wawakilishi Zanzibar Leo..

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohd Aboud Mohd akitoa hotuba ya Makadirio na Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2012/2013 huko katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.


Waziri wa Nchi  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akiwa pamoja na Waziri wa Katiba na sheria wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ndani ya Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.



Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin kushoto akibadilishana Mawazo na Mwakilishi wa Kuteuliwa Asha Bakari nje ya Ukumbi Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 



Katibu wa Ofisi ya Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Chanzo: Full Shangwe.  http://www.fullshangweblog.com

No comments: