Tuesday, July 24, 2012

ASILI YA WANABUKOBA

Chakula kikuu cha wahaya ambacho sasa kimeanza kukubwa na misukosuko unaotokana na magonjwa.
Wamachinga wameendelea kujijengea ngome kuu katika manispaa ya Bukoba, wamendelea kufurika kwenye mitaa mbalimbali iliyoko katika manispaa hiyo pamoja na uongozi wa manispaa kuwataka waondoke, hii ni hatari sana inaweza kuleta madhara makubwa baadae.
 

No comments: