Tuesday, July 24, 2012

HUKUSANYAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA NDANI YA MJI WA BUKOBA

Baadhi ya wajumbe wa kamati inayoratibu shughuli za kukusanya maoni yaa uundwaji wa katiba mpya, kamati hiyo kwa sasa inakusanya maoni katika manispaa ya Bukoba, hapa inakusanya maoni maeneo ya uwanja wa uhuru.

Waliojitokeza kutoa maoni wakiwa kwenye mstari wakijiandaa kuelezea mapendekezo yao.
Baadhi wya wakazi wa manispaa ya Bukoba wakisikiliza mapendekezo yaliyokuwa yakitolewa ya uundwaji wa katiba mpya ya jamhuri.
 
 

No comments: