Sunday, July 15, 2012

Mmoja afa katika vurugu wengine wajeruhiwa Iramba


Habari kutoka Iramba mkoani Singida zinapasha kuwa vurugu zimezuka katika Mkutano wa Siasa baada ya wafuasi wa chama kimoja kutoa lugha za matusi kwa kiongozi wa Chama Kingine cha siasa ambaye pia ni Mbunge na wananchi waliokuwa mkutanoni hapo kuwaambia kuwa waache matusi ndipo watu hao walifukuzwa hadi majumbani mwao na kushambuliwa vibaya na hatimaye Kiongozi Mmoja kudaiwa kupoteza maisha.

Blogu hii inaendelea kufuatilia vurugu hizo na ni viongozi wa chama gani aliyeuwawa.

No comments: