Thursday, July 26, 2012

Timu Ya Taifa Ya Olimpiki Ikiwa Nchini Uingereza Tayari Kwa Michuano Inayoanza Kesho

Je itaweza kufanya kama watanzania watakavyo?Tumwombe Mungu afanye muujiza na kuwatia nguvu vijana wetu katika michuano hiyo.

No comments: