Friday, August 3, 2012

Dk Mwakyembe Agoma Kujiuzulu...!

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hawezi kujiuzulu kutokana na ajali ya Mv Skagit kwa sababu hahusiki na suala hilo.

Pia, amesema kitendo cha kujiuzulu  kwa aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano Zanzibar, Hamad Masoud kwasababu ya ajali hiyo kimechelewa kwa kuwa alitakiwa afanye hivyo tangu wakati wa ajali ya Mv Spice Islanders.

No comments: