Tuesday, September 4, 2012

NYUMBANI KWA MAREHEM MWANGOSI


  nyumbani kwa marehemu Daud Mwangosi kutoa pole kwa familia yake, ndugu na jamaa. Inasikitisha sana.

Daud ameacha mke na watoto wanne, wa mwisho ana miaka miwili tu. Anayeangalia kulia ni Mzee Arcado Ntagazwa.
Daud Mwafongo ameacha mke na watoto wanne.

Dr Slaa Akitoa Pole Kwa Wafiwaili kuwafaliji


Jana jioni tukiwa msibani ( Daud Mwangosi) mara akaingia Dr Wilbroad Slaa wa CHADEMA kuja kutoa pole kwa wafiwa. Kamera yangu haikuwa mbali!


Trm, Mtwivila, Iringa.

No comments: