Afya ya mtotoJuliana inuka
mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyelazwa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi ni mbaya kwa sasa kula wala kunywa anatumia mipira maalum
Hata hizo inadaiwa kuwa jitihada
zinazofanywa na madaktari na wauguzi wa Hospitali hiyo ya Muhimbili kwa
mtoto Juliana ni kubwa sana ambazo zinatia moyo kwa wauguzi wa mtoto
huyo waliopo hapo.
Hawa ni wadau waliojitokeza
kuchangia kwa siku mbli hizi ni pamoja na Frank Mchomvu (Tsh 11,000) na
Atuboneksye Massapa (Tsh.20,000)mtandao huu unaendelea kuwashukuru wote
wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye
ni yatima
Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

No comments:
Post a Comment