Friday, October 5, 2012

Ujerumani Yaipa Tanzania Bilinio 352



Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu jana mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.

Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Kluas Peter Brandes (kulia) wakisaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu jana mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.

Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar esalaam

No comments: