Warembo
wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha
ya pamoja Oktoba 7, 2012 wakati warembo hao walipo tembelea Hifadhi ya
Mlima Kilimanjaro na kupata maelezo na kuzungumza na watalii na wapanda
mlima huo. Warembo 29 na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania wapo Kanda
ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa
ndani. Mbali na kutembelea hifadhi hiyo lakini warembo hao walishiriki
katika tamasha la michezo kwaajili ya kuchangia fedha na vitu mbalimbali
kwa watoto Yatima mjini Arusha. Oktoba 8 warembo wanaendelea na ziara
yao ikiwa ni pamoja na kutembelea kituo cha Redio cha RADIO 5 cha mjini
Arusha.
Washiriki wa Redds Miss tanzania 2012 wakiwa katiak picha tofauti tofauti wakati wakiwa katika eneo la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro KINAPA.
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya warembo wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania

Warembo wakiwa wakiwa katika eneo la maegesho ya magari KINAPA
Wakielekea eneo la kupata taarifa mbalimbali za Mlima Kilimanajaro
Wakipiga picha na baadhi ya watalii waliowakuta hapo.
Warembo wa Redds Miss Tanzania wakimsikiliza Afisa Mhifadhi wa KINAPA, Eva Malya aliyekuwa akiwapa taarifa mbalimbali juu ya mlima huo.
Warembo wakiwa na nyuso za furaha wakiendelea kupata maelezo juu ya mlima
Hapa sasa walibeba mabegi ili wapande Mlima.

No comments:
Post a Comment